KING OF LOVE

KING OF LOVE

RUN YOUR BUSNESS ALL OVER THE WORLD

PATA PAMBA KALI NA UTUPIE KIJANJA NA PAMBA YENYE LOG KALI YA AIKATAI KWA BEI POUWAA

Thursday, December 7, 2017

Mavazi Unayotakiwa Kuvaa Ukiwa Chumbani na Mwenza Wako Ambayo Yatasaidia Kupandisha Hisia

9:51 AM 1
Njoo Ufahamu Mavazi Unayotakiwa Kuyavaa Ukiwa Chumbani na Mwenza Wako Ambayo Yatasaidia Kupandisha Hisia
Leo tuongee kuhusu mavazi gani ya kuvaa ukiwa na mwenzi wako chumbani.

Mapenzi ni hisia,na hisia hizo huwa kwa wote yaani kwa wanaume pamoja na wanawake,baadhi ya walio kwenye uhusiano huwalalamikia sana wenzi wao na sababu kuu huwa ni kutokuwa na hamu ya kufanya nao tendo la ndoa.Hapa nitazungumzia mavazi yanayopaswa kuvaliwa chumbani hasa mnapokuwa wawili tu yaani mke na mume..

Mwanaume siku zote huwa na hisia za haraka sana hasa ukimjulia,lakini baadhi ya wanawake huwa wanashindwa kuzijua haraka mbinu za kumpandisha mzuka mumewe hata kama amechoka au ana hasira kwa siku hiyo...

Ndugu yangu uchawi rahisi kwa mumeo ni kumvalia nguo nyepesi na yenye kuonyesha maumbile yako kamili,hii inaweza kuwa gauni nyepesi inayoonyesha maumbile yako ama siku hizi kuna mitandio milaini ambayo pia unaweza kuivaa pindi unapokuwa na mwenzi wako,ikumbukwe pia wanaume wengi hupatwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume kwa kukosa hisia za kufanya tendo hilo lakini wanawake ni dawa nzuri ya tatizo hilo ikiwa ataweza kumuhamasisha mumewe kwa njia mbalimbali ikiwemo ya vazi ambalo litamfanya mzee asisimke..

Ntakushangaa utaposhangaa mumeo hana hamu na wewe kwakuwa muda wote wamvalia madera ukikaa utafute anayekuroga utajipotezea muda mchawi ni wewe mwenyewe ambaye unashindwa kujiongeza ata mnapokuwa chumbani wawili
Read More

Wadada: Fahamu Dalili Hizi 9 Kuwa Wewe Ni Mchepuko Tu !

9:48 AM 0
Wanaume wengi ni wataalam wa kuwa na uhusiano na wanawake wengi kwa wakati mmoja. Sasa kwa msichana unayesoma makala hii, hizi ni dalili 9 kuwa huenda wewe si ‘baby number one’ wake bali ni mchepuko tu.

Mazungumzo mengi naye yanahusisha kufanya mapenzi tu.

Hawezi kukualika kwenye mkusanyiko wa familia yake.

Hapendi surprises – hapendi uende kwake bila kumwambia.

Ni mkali sana kwenye simu yake, hawezi kukuruhusu uishike.

Ni mgumu kukuonesha mahaba ukiwa naye hadharani.

Anahofia kupiga selfie na wewe.

Anapigiwa simu za ajabu ajabu.

Hakuiiti wewe kama girlfriend wake. Akiwa na marafiki au ndugu zake anakutambulisha kwa jina lako.

Haongelei kuhusu mipango yenu ya baadaye
Read More

Wanawake, Haya Hapa Mambo 6 Yatakayomfanya Mumeo Akupende Zaidi.

9:46 AM 0

1. Muamini mmeo au mchumba wako.

2. Usikatishe tamaa katika maono yake.

3. Usimlazimishe kupenda mambo unayoyapenda.

4. Usipange kumbadilisha.

5. Usidhani kwamba hawezi kutambua uwepo na uzuri wa wanawake wengine.

6. Usilazimishe kuwajibika juu ya mambo yako: Kama vile kwenda saluni, umeme, vocha na mambo mengine hasa kama bado mko katika mchakato wa uchumba, kama atafanya hivyo mwache afanye mwenyewe msimlazimishe eti kwa sababu shosti wako huwa anafanyiwa hivyo na wewe unataka, ladies huo ni utoto.
Read More

Wadada: Tumieni Njia Hizi Kuwaridhisha Waume Zenu.

9:43 AM 0
Mtaalam wa mapenzi, Bi. Layla Quinn, anasema wamaume ni viumbe rahisi sana kuridhishwa tunapokuja katika suala la unyumba. 

Mwanzoni, kitu kinachomhamasisha mwanaume kujamiiana ni muonekano wako (mwanamke) tu wakimahaba, lakini kadri siku zinavyokwenda ndani ya mahusiano, inakuwa ngumu kupandisha munkari wake, hata kama wewe ni mwanamke mrembo barabara!

Bi. Layla anaendelea kusema kuwa, kumridhisha mwanaume wako kitandani inaweza ikawa rahisi kama tu utakumbuka kuweka mambo katika hali ya mvuto ( Remember to keep things intereting!). Tafuta namna ya kuleta hamasa, iliyokuwepo siku za mwanzo mwanzo, na kwa hakika utakamata usukani. Sasa swali linakuja…..Nini unatakiwa kufanya, ili kumridhisha mwanaume wako kitandani? Kujibu swali hilo, Bi. Layla amekuja na sheria 10 zifuatazo, ambazo kama zitazingatiwa kwa makini, basi mwanamke hatokuwa na shida ya kumridhisha mwanaume wake kitandani na nyanja nyingine muhimu za mahaba.

1. Vaa vizuri.
Utamu wa kujamiiana unaweza ukawa kwenye tendo lenyewe, lakini matamanio ya kufanya tendo hilo, yanategemeana na mambo mengine mengi. Vaa vizuri wakati wa kulala wakati wote, na sio tu wakati wa usiku, ambao unataka kufanya mapenzi. Vaa nguo nyororo, yenye mtelezo unaomwagika mwilini. Kwa vazi hili na mtembeo wa kimahaba chumbani, mwanaume wako hatotaka kutoa mikono yake mwilini mwako.

2. Usiwe mtu wa aibu aibu linapokuja suala la kujamiiana.
Mwaume anaweza akakupenda kwa mapozi yako na aibu kwanza (lugha iliyotumika hapa ni “innocence”), lakini hamna mwanaume atakaye endelea kuvumilia mwanamke, ambaye anastushwa kirahisi na kila kitu (mitindo ya kujamiiana), isipokuwa mtindo wa kifudi fudi, maarufu kama “Kifo cha Mende”. Wanaume wanapenda wanawake, ambao ni wataalam kitandani. Wanaume wanapenda wanawake, ambao wanajiamini na wanabuni manjonjo mbalimbali wakati wa shughuli. Kama unataka kumridhisha mwanaume wako kitandani, basi soma mbinu mbalimbali, ambazo zinatumiwa na wapenzi mbalimbali.

3. Fanya mazoezi na onekana Bomba.
Wanaume ni watu wakujali sana muonekano wa mwanamke. Kwahiyo, sio lazima kuonekana kama walimbwende wa vichupi, lakini mtazamo wa karibu na hapo, utakuongezea mvuto zaidi kitandani. Ndio, mwanaume wako “anakupenda kama ulivyo” na tila lila nyingiiiii…..lakini lazima tuukabili ukweli kwamba watu wenye kufanya mazoezi wanaonekana na mvuto zaidi, hakuna kupinga hilo. Hata kwetu Bongo katika nyakati hizi za utandawazi, wakina kaka wengi wanawaona wanawake kama wakina Naomi Campbell na Jennifer Lopez, ambao wanatamani kuwa nao. Lakini hauhitaji kuwa kama wakina Naomi na Jennifer kumridhisha mwanaume wako, bali hakikisha tu upo katika umbo zuri la kumpelekesha kirahisi kitandani, Basi!

4. Kuwa Mchokozi.
Hapa haimaanishi ule uchokozi wa kuleta ugomvi, lahasha! Bali, ni ule uchokozi, ambao kwa lugha ya kingereza unafahamika kama “Tease”, kwa maana hiyo basi tunasema “Tease him”. Cheza nae michezo mbalimbali na burudika nae ipasavyo, na michezo isiwe ya kitandani tu, kama karata na kadhalika, bali michezo ya hata nje ya kitanda kama kukimbia na kucheza kidali po! Kama unataka kuwa mjuzi kitandani, basi unatakiwa umfanye mwanaume wako akutake wakati wote na popote pia. Kujamiiana sio kitasa ambazo unawasha na kuzima mnapokuwa chumbani tu. Mchokoze chokoze wakati mnasakata muziki jukwaani, na mchokoze chokoze (katika mitindo ya kimahaba, bila kuvuka mipaka) wakati yupo na marafiki zake.

5. Jiamini na Jipende.
Ndio, utaonekana vizuri zaidi ukipunguza maunene, lakini hiyo haimaanishi kwamba haupo bomba. Hakuna kinacho kera wanaume, kama mwanamke, ambae anauonea aibu mwili wake mwenyewe wakati anafanya mapenzi. Jiamini kuhusu mwili wako wakati upo mtupu, na jaribu mambo mbalimbali na mwanaume wako.
Read More

Mbinu 5 za Jinsi ya Kutongoza Msichana Yoyote Mrembo na Akubali.

9:41 AM 1
Je , unamtamani msichana mrembo ambae kwa sasa ni kama marafiki ? au unavutiwa na yule demu unayemuona kila siku mtaani na unashidwa kujizuia sema hujui uanzaje ? Haijalishi kama unamjua au hamjuani , ila inapokuja kwenye kumtongoza mwanamke unachotakiwa kujua ni uelewa wa vitu kadhaa kuhusu jinsi kutamani kunavyokua na jinsi ya kufanyia kazi ili ufanikiwe .

Kumtongoza demu na vitu unavyotakiwa kujua

kwanza kabisa kama unataka kumtongoza msichana au kumfanya tu akupende tu , inabidi uwe mtu poa ambae anaweza kuvuta macho ya wasichana.

Kama hautaweza kua mtu anayeweza kumvutia msichana kirahisi , utakua bado unauwezo wa kumtongoza mwanamke unayempenda lakini itakua ngumu kuwezesha yeye akukubali .

Kiufupi fatisha njia hizi 11 rahisi na kiukweli kabisa utakua vizuri katika kutongoza na hata kwa mambo mengine yatakayofuata baada ya hapo.

Tumia njia hizi moja baada ya nyingine na ijapokua utacheza karata zako vizuri basi lazima umpate mrembo yoyote unayemtaka hata kama kuna watu wengine kibao wanamfukuzia .

1 . Kua karibu nae

Siku zote , kama unataka kumtokea msichana njia muhimu kabisa ni kuweza kumjua kwa undani .Usikurupuke kurupuke tu ukaanza kutongoza , msichana ataogopa au atakuona mtu rahisi kua nae na mwisho wa siku utaishia kumboa tu .

Ongea nae na upate kumjua vizuri . Mtumie message na usiwe na mzuka , mfanye awe kama rafiki kwanza . Usimtokee kwanza sema pia usisubiri sana maana ataanza kukuchukulia poa .

2 . Kua mtu unayependeka

Hii ni hatua muhimu sana . Na huu ndio wakati utagundua kama anahisia na wewe kweli au anakuchezea akili . Pia unapoongea nae mara kwa mara jaribu kugundua vitu anavyovipenda. Jaribu kuweka ukaribu nae kwenye kitu ambacho wote mnakipenda.

3 . Usilale Usiku

Ndio maana mitandao mingi ya simu ikawapa ofa za usiku watu kama nyie muongee usiku kucha . Usiku ndio muda sahihi wa kuweza kutoa ya moyoni na kueleza hisia zako kwa msichana . Anza kwa kuweka maongezi ya kawaida na kadiri unavyoendelea weka vionjo fulani vitakavyomfanya aanze kuingia line bila kugundua kama unamtokea.

4 . Ishi Maisha mawili

Unapoongea nae usiku , mwaga sera zako na funguka kuhusu mambo ya mapenzi sema mkikutana ana kwa ana mchana usiongelee mambo ya mapenzi kabisa labda aanze yeye na hivyo kumaanisha ashaingia line na anapenda maongezi hayo .

Pia epuka kuongelea kuhusu mambo yenu ya kimapenzi mnapokua na marafiki wengine bali fanyeni hivyo mkiwa wawili . Kwa kufanya hivyo unamfanya aamini kuna uhusiano motomoto wa siri unapikika kati yenu.

5 . Usimfanye ajue unampenda

Wanaume wengi ufanyaga kosa hili kubwa . Wanawaambia wanawake wanawapenda au wanahisia za kimapenzi kwao . Ni kweli unampenda , anajua hivyo tayari . Au hajui ? Unampigia simu kila saa , mnataniani kimapenzi na anaona uhusiano wenu kabisa .

Kwahiyo japokua anahisi unampenda , usije kuonyesha hivyo kwani anahitaji kusikia kutoka kwako ili ajihakikishia hisia zake . Chukulia poa na usifunguke kuhusu hisia zako kwake , kitendawili alichonacho ndicho kitamfanya azidi kukunata na kutaka kujua mwisho wa mambo .
Read More

Wednesday, December 6, 2017

TAFUTA MARAFIKI NDUGU PAMOJA NA MPENZ HAPA........................

5:34 AM 0
Kwa wale wanaotafuta ndugu jamaa mpenz mchumba au rafiki wa kuchart nae ni jambo rahisi sana ukiwa na KING OF LOVE usiumize kichwa wala kufikiri utaenda wap                                                                                                                                                                                                                      chakufanya nenda sehemu ya comment kisha weka jina lako kamili mahala unapotokea unataka mchumba au rafiki wa aina gani awe na umri gani kisha number zako za sim unaweka hapo                                                                                                                                                                                     kisha wewe au yule anaye tafuta rafiki au mpenz atachukua number zako na kufanya mawasiliano na wewe                                                                                                                                                            MFANO; mi naitwa juma matias na miaka 23 naish arusha natafuta mpenz mwenye umri kwanzia miaka 20 atokee popote numbe zangu 076430855 anaye itaji anitafute asante                 
Read More

Mwanamke Kalio Bwana, Kama Sura Hata Mbuzi Anayo

4:57 AM 0

Nimekutana na hii Mahali:

"Mwanamke mwenye kalio halali na njaa hapa town hata awe na sura mbaya vipi
Hakuna mwanaume atakayegeuka nyuma kumuangalia mwanamke mwenye sura nzuri
Siku zote wanaume wanageuka nyuma kuangalia mwanamke mwenye kalio la kutosha.

Wanaohongwa magari na nyumba wengi ni wenye makalio makubwa, wenye makalio kama wamepigwa pasi wanaishia kuhongwa vocha tu.

Achana na Wezere Bana......KALIO KWANZA, Sura peleka kwa mzee wako"

Je ya Kweli Hayo? 
Read More

Post Top Ad

Your Ad Spot