NIMEJAA Hofu Kwa Nilichokishuhudia Kwenye Pochi ya Mpenzi Wangu.... - KING OF LOVE

RUN YOUR BUSNESS ALL OVER THE WORLD

PATA PAMBA KALI NA UTUPIE KIJANJA NA PAMBA YENYE LOG KALI YA AIKATAI KWA BEI POUWAA

Wednesday, July 19, 2017

NIMEJAA Hofu Kwa Nilichokishuhudia Kwenye Pochi ya Mpenzi Wangu....


Nimepitia misuko suko mingi sana katika mahusiano,ilifika mahali nikaomba wadau mnishauri kwa baadhi ya mambo yaliyonikumba,nawashukuru wengi mlinishauri na maisha yakaendelea.

Nilipata binti,mpole na mtaratibu sana,nimekuwa naye katika vipindi vigumu na hakuwahi kuonyesha hali yoyote yenye mashaka.

Nimeshitushwa sana leo baada ya kuona vitu vya ajabu kwenye mkoba wake,(ambao sikuwahi kuuona tangu nimefahamiana naye,).

Naviweka hapa,wataalamu wa lugha ya kiarabu naomba mnisaidie kutafsiri maana ya maneno haya,nimekuta karatasi ikiwa na picha yangu,imeandikwa kwa maandishi mekundu kwa lugha ya kiarabu,halafu imefungwa na karatasi nyeusi!!!

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot