Msichana Ukiwa Unajiamini Sana au Kuwa Overconfidence itakufanya UsioleweUkipenda kuongea na watu, kwa kweli utapata mengi sana na utaongeza maarifa. Huu ni ukweli nilioufanyia mahojiano na wanaume mbali mbali ambao hawajaoa. Wanadai ya kwamba msichana anayejiamini sana kupita kiasi ana safasi ndogo sana ya kuolewa. Kwa sababu wanaume waliowengi hujisikia wanyoge sana kwenye ndoa, wanawake wanapokuwa wao ni kama watawala katika familia na wenye maamuzi(tena wanawake kama hao wanakiburi sana, kutokana na kujiamini kwao.) Wanaume walioa wanawake wanaojiamini kupita kiasi, wanadharaulika sana mbele ya jamii. Wasichana kazi kwenu mnaotaka kuolewa. - KING OF LOVE

RUN YOUR BUSNESS ALL OVER THE WORLD

PATA PAMBA KALI NA UTUPIE KIJANJA NA PAMBA YENYE LOG KALI YA AIKATAI KWA BEI POUWAA

Wednesday, December 6, 2017

Msichana Ukiwa Unajiamini Sana au Kuwa Overconfidence itakufanya UsioleweUkipenda kuongea na watu, kwa kweli utapata mengi sana na utaongeza maarifa. Huu ni ukweli nilioufanyia mahojiano na wanaume mbali mbali ambao hawajaoa. Wanadai ya kwamba msichana anayejiamini sana kupita kiasi ana safasi ndogo sana ya kuolewa. Kwa sababu wanaume waliowengi hujisikia wanyoge sana kwenye ndoa, wanawake wanapokuwa wao ni kama watawala katika familia na wenye maamuzi(tena wanawake kama hao wanakiburi sana, kutokana na kujiamini kwao.) Wanaume walioa wanawake wanaojiamini kupita kiasi, wanadharaulika sana mbele ya jamii. Wasichana kazi kwenu mnaotaka kuolewa.

Ukipenda kuongea na watu, kwa kweli utapata mengi sana na utaongeza maarifa.

Huu ni ukweli nilioufanyia mahojiano na wanaume mbali mbali ambao hawajaoa.

Wanadai ya kwamba msichana anayejiamini sana kupita kiasi ana safasi ndogo sana ya kuolewa. Kwa sababu wanaume waliowengi hujisikia wanyoge sana kwenye ndoa, wanawake wanapokuwa wao ni kama watawala katika familia na wenye maamuzi(tena wanawake kama hao wanakiburi sana, kutokana na kujiamini kwao.)

Wanaume walioa wanawake wanaojiamini kupita kiasi, wanadharaulika sana mbele ya jamii.

Wasichana kazi kwenu mnaotaka kuolewa. 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot