Napenda Kudate na Wanaume Maarufu Tu, Wasio na Jina hapa Mjini kwangu Takataka - KING OF LOVE

RUN YOUR BUSNESS ALL OVER THE WORLD

PATA PAMBA KALI NA UTUPIE KIJANJA NA PAMBA YENYE LOG KALI YA AIKATAI KWA BEI POUWAA

Wednesday, December 6, 2017

Napenda Kudate na Wanaume Maarufu Tu, Wasio na Jina hapa Mjini kwangu Takataka

Hii kitu imenitokea sana mara nyingi
Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa ktk mahusiano na mwanaume maarufu najickia nipo salama sana hata kama hanisaidii chchte nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso na jina hapa town

Tatizo nikiwa na mtu hata kama ananijali na anasifa zote lakini hana jina nakuwa mnyonge simfurahii
Nawezaje kuondokana na hili tatizo? 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot